Beatrice Wanjiku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Beatrice Wanjiku (alizaliwa katika eneo la Ngong Hills, 1978) ni msanii wa kujitegemea wa nchini Kenya katika sanaa za maonyesho, anayefanya kazi zake za sanaa mji mkuu wa nchini Kenya uitwao Nairobi.[1]

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Beatrice, baada ya kumaliza elimu yake ya shule ya msingi na shule ya upili, alijiunga katika chuo cha sanaa cha Buruburu Institute of Fine Arts, kilichopo eneo la Buruburu, karibu na mji wa kibiashara wa Nairobi, mwaka 2002.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Margaretta Wa Gacheru (9 November 2018). "Beatrice is Back". Business Daily Africa. Nairobi. Iliwekwa mnamo 15 November 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Wilcox, Isabel (3 November 2016). "Interview with Kenyan artist Beatrice Wanjiku". Happening In Africa. Iliwekwa mnamo 15 November 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Beatrice Wanjiku kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.