Barbara Adair

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Barbara Adair
Nchi Afrika kusini
Kazi yake Mwandishi


Barbara Adair ni mwandishi wa Afrika Kusini. Riwaya yake ya mwaka 2004 iitwayo In Tangier We Killed the Blue Parrot iliorodheshwa kuwania tuzo ya waandishi wa vitabu ya Sunday Time na riwaya yake iitwayo END iliorodheshwa kuwania tuzo ya jumuiya ya madola.Akiwa Johannesburg, alikuwa mhadhiri wa haki za binadamu.

Riwaya zilizochapishwa[hariri | hariri chanzo]

  • 2004: In Tangier We Killed the Blue Parrot,
  • 2005: Jacana, riwaya iliyoelezea Maisha ya Paul Bowles na Jane Bowles wakiwa Tangier. Iliorodheshwa katika kuwania tuzo ya Sunday Times ya mwaka 2005.
  • 2007: Cheryl Stobie: Somatics, Space, Surprise: Creative Dissonance over Time, chuo kikuu cha KwaZulu Natal, Afrika ya Kusini.[1]
  • 2007: END, kazi ya Sanaa iliyotokana na filamu ya Casablanca iliyoandaliwa katika mandhari ya Johannesburg na Maputo. Riwaya hii iliorodheshwa kuwania tuzo ya jumuiya ya madola ya mwaka 2010. Maudhui ya tasnifu ya uzamivu (PHD) ilihusiana na siasa, ubaguzi wa rangi Afrika ya kusini na uongozi wa kidkteta. (“Beppi Chiuppani, Beyond Political engagement? Redefining the Literary in post dictatorship Brazil and post-apartheid South Africa, University of Chicago, 2013”).

Pia nakala za magazeti, majarida ya: Sunday Independent (Afrika ya Kusini), Sunday Times (Afrika ya Kusini), Weekender (Afrika ya Kusini), Horizon (shirika la anga la Uingereza), Selamta (shirika la ndege la Ethiopia. Hadithi fupi: New Contrast Literary Journal (Afrika ya Kusini), From the Great Wall to the Grand Canyon (chapisho la Marekani), Hadithi za kutunga mpya na zilizokusanywa na Queer Africa : mkusanyiko wa hadithi fupi za Afrika ya Kusini ilyoshinda tuzo ya LAMDA(Marekani) kwa ukusanyaji wa hadithi.[onesha uthibitisho]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "L'AFRIQUE ECRITE AU FEMININ". aflit.arts.uwa.edu.au. Iliwekwa mnamo 2020-12-09. 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barbara Adair kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.