Anália de Victória Pereira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anália Maria Caldeira de Victória Pereira Simeão (3 Oktoba 19417 Januari 2009) alikuwa kiongozi wa chama cha PLD ( Partido Liberal Democrático, au "Liberal Democratic Party") cha Angola na mwanasiasa mwanamke anayeonekana zaidi nchini humo. Alianzisha PLD mwaka 1983 alipokuwa akiishi Ureno, na alikuwa rais wake hadi kifo chake.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anália de Victória Pereira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.