Adelaide wa Italia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Adelaide wa Italia

Adelaide wa Italia (takriban 93116 Desemba, 999) alikuwa binti wa Rudolf II, mfalme wa Burgundia. Kwanza aliolewa na Lothar, mfalme wa Italia. Alipofariki Lothar, Adelaide aliolewa na Otto I, mfalme wa Ujerumani. Aliishi maisha matakatifu. Sikukuu yake ni 16 Desemba.

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adelaide wa Italia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki
Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine