476
Kutoka Wikipedia
[hariri] Matukio
- 4 Septemba - Kaisari wa Roma Romulus Augustus anaondolewa madarakani na jenerali wa Kigermanik Odoaker. Tarehe hii huhesabiwa kuwa mwisho wa Dola la Roma katika Magharibi hata kama Dola la Roma liliendelea katika eneo la mashariki chini ya makaisari waliokaa Konstantinopoli

