Upton Sinclair

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Upton Sinclair

Upton Beall Sinclair Jr. (20 Septemba 187825 Novemba 1968) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1943, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Dragon's Teeth.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Upton Sinclair kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.