Run-D.M.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Run-D.M.C.

Maelezo ya awali
Asili yake Queens, New York, US
Aina ya muziki Muziki wa hip hop, rap rock
Miaka ya kazi 1983 - 2002
Studio Profile, Def Jam
Ame/Wameshirikiana na Beastie Boys
LL Cool J
Aerosmith
Public Enemy
Slick Rick
Jason Nevins
Kid Rock
Onyx
Tovuti www.RunDMC.com
Wanachama wa sasa
Rev Run
D.M.C.
Jam-Master Jay


Run-D.M.C. ni kundi la muziki wa hip hop lenye makazi yake huko mjini New York City nchini Marekani. Kundi linaunganishwa na wasanii kama vile Joseph "DJ Run" Simmons, Darryl "D.M.C." McDaniels, and Jason "Jam-Master Jay" Mizell.

Kundi kuingiza Rock and Roll Hall of Fame tarehe wa 4 Aprili 2009.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Albamu Chati
Billboard 200 US Hip-Hop RIAA
1984 Run-D.M.C. 53 14 Gold
1985 King of Rock 52 12 Platinum
1986 Raising Hell 3 1 3x Platinum
1988 Tougher Than Leather 9 2 Platinum
1990 Back from Hell 81 16 300,000
1993 Down with the King 7 1 Gold
2001 Crown Royal 37 22 Gold

Singles[hariri | hariri chanzo]

Year Title U.S. Hot 100 U.S. R&B Album
1983 "It's like That" - 15 Run-D.M.C.
1984 "30 Days" - 16
"Hard Times" - 11
"Hollis Crew (Krush Groove 2)" - 65
1985 "Can You Rock It Like This" - 19 King of Rock
"Jam-Master Jammin'" - 53
"King of Rock" - 14
"You Talk Too Much" - 19
1986 "My Adidas" - 5 Raising Hell
"Walk This Way" 4 8
"You Be Illin'" 29 12
1987 "It's Tricky" 57 21
1988 "I'm Not Going Out Like That" - 40 Tougher Than Leather
"Mary, Mary" 75 29
"Run's House" - 10
1989 "Pause" - 51 Back From Hell
1990 "What's It All About" - 24
1991 "Faces" - 57
1993 "Down with the King" 21 9 Down with the King
"Ooh, Whatcha Gonna Do" - 78
2001 "Rock Show" - - Crown Royal

Greatest hits albamu[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: