Public Enemy
Mandhari
(Elekezwa kutoka Public Enemy (band))
Public Enemy ni kundi la muziki wa hip hop lenye makazi yake huko mjini New York City na Long Island nchini Marekani. Kundi linaunganishwa na wasanii kama vile Chuck D, Flavor Flav, Professor Griff, DJ Lord na The S1W.
Diskografia
[hariri | hariri chanzo]- Albamu
- 1987: Yo! Bum Rush the Show
- 1988: It Takes a Nation of Millions to Hold Us Back
- 1990: Fear of a Black Planet
- 1991: Apocalypse 91... The Enemy Strikes Black
- 1992: Greatest Misses
- 1994: Muse Sick-n-Hour Mess Age
- 1998: He Got Game
- 1999: There's a Poison Goin' On
- 2002: Revolverlution
- 2005: New Whirl Odor
- 2006: Rebirth of a Nation (with Paris (rapper))
- 2007: How You Sell Soul to a Soulless People Who Sold Their Soul?
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu muziki wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Public Enemy kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |