Nenda kwa yaliyomo

Zowey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zowey, pia hufahamika kama. Dzowey, Dakuwa, Donkwa or Adarkwa, ni chakula kinachopatikana magharibi mwa Afrika na kinaandaliwa kwa kutumia, karanga za kusaga, sukari, chumvi, maji, kitunguu saumu, na Unga wa mahindi.[1]

Zowey
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zowey kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.