Ziwa Chaubunagungamaug

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ziwa Chaubunagungamaug (pia hujulikana kama Ziwa Webster) linapatikana katika nchi ya Marekani. [1]

Ni ziwa lenye jina refu zaidi duniani likiwa kwa kirefu jina hili husomeka kama Char­gogg­a­gogg­man­chaugg­a­gogg­chau­bun­a­gung­a­maugg.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Flag USA template.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Chaubunagungamaug kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.