Zilipendwa (Matonya)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Zilipendwa”
“Zilipendwa” cover
Kava la Zilipendwa
Single ya Matonya
Imetolewa 2012
Muundo Upakuzi mtandaoni
Imerekodiwa 2012
Aina Bongo Flava, afro-pop
Urefu 4:13
Studio Burn Records
Mtayarishaji Sheddy Clever

"Zilipendwa" ni jina la wimbo uliotoka 2012 wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Matonya. Wimbo umetayarishwa na Sheddy Clever katika studio ya Burn Records. Wimbo ulitolewa tarehe 5 Novemba, 2012. Mwaka huu wa 2012, 2013 na 2014 ulikuwa mwaka wa mtayarishaji Sheddy Clever. Miaka hiyo nyimbo nyingi nzuri zilitayarishwa na yeye. Kama ilivyo kwa 2016 na 2017 ngoma kali nyingi zimetayarishwa na Mr. T Touch. Wimbo huu ulileta sekeseke na WCB baada ya Matonya kudaid wametumia wimbo wake bila idhini.[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Matonya alalamikia kunakiliwa wimbo wake bila ruhusa MATONYA AELEZA KWANINI ANASEMA NGOMA YAKE IMEIBIWA NA WCB ..NGOMA YA ZILIPENDWA

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Kigezo:Matonya