ZeeZee Adel
ZeeZee Adel (pia hutamkwa kama Zizi na Zeze, alizaliwa 26 Oktoba 1987, Kuwait [1] ) ni mwimbaji wa nchini Misri. [2] Adel alikuja kujulikana kwa mara ya kwanza alipoingia katika msimu wa pili wa mashindano ya Star Academy mwaka 2005, [3] na kuishika nafasi ya tatu baada ya Hisham Abdulrahman na Amani Swissi kwenye nusu fainali. [4]
Baada ya Star Academy
[hariri | hariri chanzo]Baada ya Star Academy, Zizi Adel alitia saini ya mkataba na Rotana mwaka 2007. [5] Albamu yake ya kwanza, Wahad Tayib Kbeeeeeer Awi ( One Good Package ), [6] iliyotolewa mwaka 2007, ilikua na nyimbo nane zikiwemo nyimbo kama Hobbo Eja Alayah ( Uaccounted Premature Fire ) na Wahad Tani.
Zizi Adel alishinda tuzo ya ART kama msanii bora mpya na albamu bora ya mwaka 2007. Alisoma katika Institute of Arabic Music. Albamu ya pili ya Adel, iliyotolewa mwaka 2009, Waed Alia ( Promised High ) iliyokua na nyimbo 10.
Orodha ya kazi za muziki
[hariri | hariri chanzo]Albamu
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (kwa Kiarabu). 11 Julai 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-09-18. Iliwekwa mnamo 2022-05-03.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Zizi Adel — Album and clip of the (promised high)" (kwa Kiarabu). 8 Novemba 2009.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (kwa Kiarabu). 24 Januari 2005. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-06-02. Iliwekwa mnamo 2022-05-03.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ (kwa Kiarabu). 11 Aprili 2005 http://www.elaph.com/Music/2005/4/54423.htm.
{{cite news}}
: Missing or empty|title=
(help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Alwatan Voice (kwa Kiarabu). 17 Januari 2007 http://www.alwatanvoice.com/arabic/news/2007/01/17/71223.html.
{{cite news}}
: Missing or empty|title=
(help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Al Riyadh (kwa Kiarabu). 28 Januari 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-17. Iliwekwa mnamo 2022-05-03.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu ZeeZee Adel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |