Nenda kwa yaliyomo

Zaragoza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Zaragoza

Zaragoza (matamshi ya Kihispania: θaɾaˈɣoθa; pia: Saragossa[1] kwa Kiingereza[2]) ni mji wa Hispania, makao makuu ya Mkoa wa Zaragoza na ya jumuia ya kujitegemea ya Aragon.

Tarehe 1 Januari 2019 wakazi wake walikuwa 706,904,[3] katika eneo la km² 1062.64, ukiwa wa tano nchini kwa wingi wa watu, na wa 32 katika Umoja wa Ulaya.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Saragossa". Collins Dictionary. n.d. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 26 Septemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Encyclopædia Britannica Zaragoza (conventional Saragossa)
  3. "Zaragoza vuelve a crecer y supera la barrera de los 700.000 habitantes", El Periódico de Aragón, 9 January 2019. (es) 

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Zaragoza travel guide kutoka Wikisafiri

Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Zaragoza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.