Nenda kwa yaliyomo

Zamalek

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Jazira penye mtaa wa Zamalek mjini Kairo

Zamalek (Ar. الزمالك (az-zamalek) ni mtaa wa Kairo mji mkuu wa Misri. Iko kwenye kisiwa cha jazira kilichopo ndani ya Mto Naili kwenye eneo la Kairo. Kwenye kisiwa hiki zamalek ni sehemu ya kaskazini lakini wakati mwiongine kisiwa chote huitwa pia "Zamalek".

Zamalek ni eneo tajiri penye ofisi za makampuni ya kimataifa na balozi mbalimmbali.