Yves Leterme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yves Leterme

Yves Leterme (amezaliwa 6 Oktoba 1960) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Ubelgiji. Alikuwa Waziri Mkuu wa Ubelgiji kuanzia tarehe 20 Machi hadi 30 Desemba 2008. Tena, ni Waziri Mkuu tangu 25 Novemba 2009.

Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yves Leterme kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.