Yves Chauvin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yves Chauvin akiwa jukwaani

Yves Chauvin (amezaliwa 10 Oktoba 1930) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa anajulikana kwa kuchunguza hali na sifa za olefini. Mwaka wa 2005, pamoja na Robert Grubbs na Richard Schrock alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yves Chauvin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.