Nenda kwa yaliyomo

Yusuf Olatunji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yusuf Olatunji (anajulikana pia kama Baba Legba au Baba L’Egbaa; 1905 -1978) alikuwa mpiga ngoma ya sakara wa Nigeria, ambaye alitangaza mtindo wa muziki wa sakara. [1]

  1. Michael E. Veal (2000). Fela: The Life & Times of an African Musical Icon. Temple University Press. uk. 28. ISBN 1-56639-765-0.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yusuf Olatunji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.