Nenda kwa yaliyomo

Yusuf Biwott

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yusuf Kibet Biwott (alizaliwa Novemba 12, 1986) ni mwanariadha wa masafa marefu kutoka Kenya. Biwott alimaliza katika nafasi ya nne kwenye Fainali za Dunia za Riadha za IAAF mwaka 2006 katika mbio za mita 3000.

Makala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yusuf Biwott kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.