Nenda kwa yaliyomo

Yuriy Drohobych

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yuriy Drohobych mwaka 1494

Yuriy Drohobych or Yuriy Kotermak (alizaliwa 1450, Drohobych - alifariki 4 Februari 1494, Kraków) alikuwa mwanafalsafa wa huko Ruthenian, Mnajimu, mwandishi, daktari, Raisi wa Chuo Kikuu cha Bologna, na profesa wa Kraków Academy, na ni mchapishaji wa kwanza kwenye Kanisa la Slavonic . Yeye ndiye mwandishi wa kitabu cha Iudicium Pronosticon Anni 1483 Currentis ..[1]

Yuriy Drohobych alizaliwa katika mji wa Drohobych huko Red Ruthenia, au Rubra (leo ni Magharibi mwa Ukraina), kwa mtengenezaji wa chumvi Michael-Donat. Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya St. George's Church na kisha alisoma lyceum huko Lviv au Leopolis, huko Ukrainia

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yuriy Drohobych kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Magistri Georgii Drohobich de Russia. "Iudicium Pronosticon Anni 1483 Currentis". Iliwekwa mnamo 4 Agosti 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)