Yuan Lee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Tuzo Nobel.png
Yuan Lee

Yuan Tseh Lee (amezaliwa 19 Novemba 1936) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Taiwan. Hasa alichunguza utaratibu wa athari za kikemia. Mwaka wa 1986, pamoja na Dudley Herschbach na John Polanyi alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Tuzo Nobel.png Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yuan Lee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.