Nenda kwa yaliyomo

Youssouf Fofana (mwanasoka)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fofana mnamo 2019

Youssouf Fofana (alizaliwa 10 Januari 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya AS Monaco na timu ya taifa ya Ufaransa.

  1. "Youssouf Fofana". AS Monaco (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Youssouf Fofana (mwanasoka) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.