Youssef Aït Bennasser

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Youssef Aït Bennasser (alizaliwa 7 Julai 1996) ni mchezaji wa soka, anayecheza kama kiungo klabuni Samsunspor. Akizaliwa Ufaransa, anawakilisha Moroko katika kiwango cha kimataifa.[1]

Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Aït Bennasser alijiunga na Chama cha Soka cha Morocco. Alicheza mechi mbili katika Timu ya Taifa ya Soka ya Vijana ya Morocco mnamo mwaka 2013.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kigezo:Soccerway
  2. Bakkali, Achraf. "Fiche de". Mountakhab.net (kwa Kifaransa). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-19. Iliwekwa mnamo 6 Aprili 2018.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Youssef Aït Bennasser kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.