Yolanda wa Vianden
Mandhari
Yolanda wa Vianden (au Yolande, Iolanda), O.P. (1231 – 1283) alikuwa binti mdogo wa Count Henry I wa Vianden na Margaret, Marchioness wa Namur.
Alijiunga na monasteri ya Wadominiko ya Marienthal, Luxembourg, kinyume na matakwa ya wazazi wake alipokuwa mdogo.
Baadaye alikuwa mkuu wa monasteri hiyo na hadi sasa habari zake zinasimuliwa.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Wiltheim, Alexander; Berg, Guy; Newton, Gerald (2007). The life of Yolanda of Vianden ; The life of Margaret of Luxembourg ; Genealogy of the Ancient Counts of Vianden: Antwerp, 1674 = Das Leben der Yolanda von Vianden ; Das Leben der Margarete von Luxemburg ; Genealogie der ehemaligen Grafen von Vianden : Antwerpen, 1674. Luxembourg: Institut Grand-Ducal, Section de Linguistique, d'Ethnologie et d'Onomastique. ISBN 9782919910243. OCLC 212739110.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |