Yannick Zachée

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yannick Zachee (alizaliwa 29 Oktoba 1986 huko Meulan, Ufaransa) Ni mchezaji wa mpira wa kikapu wa Afrika ya Kati ambaye ni mwanachama wa timu ya taifa ya mpira wa kikapu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati.[1]Alizaliwa Ufaransa, anaiwakilisha Jamhuri ya Afrika ya Kati kimataifa.

Zachee hapo zamani alichezea timu ya Fos Ouest Provence Basket ambayo inashiriki Ligi ya Mpira wa Kikapu Nchini Ufaransa.[2]Hapo awali, Zachee alikuwa amechezea timu ya Chorale Roanne Basket pamoja na timu ya JA Vichy of Ligue Nationale de Basketball.[3][4]

Zachee alikuwa mshiriki wa timu ya taifa ya mpira wa kikapu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati iliyomaliza nafasi ya sita kwenye Mashindano ya FIBA Afrika ya mwaka 2009.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-01-31. Iliwekwa mnamo 2022-09-03.
  2. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-03-13. Iliwekwa mnamo 2022-09-03.
  3. Kiến Thức Bóng Rổ, Cá Độ Bóng Rổ Thabet - (vi). Iliwekwa mnamo 2022-09-03.
  4. "Jeanne d'Arc de Vichy Val d'Allier Auvergne Basket", Wikipédia (in French), 2022-07-09, retrieved 2022-09-03