Yakubu Adamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yakubu Adamu (alizaliwa 4 Oktoba 1981) ni mwanasoka wa zamani kutoka Nigeria ambaye alicheza kama mlinzi.Adamu Alicheza kwa msimu mmoja katika Bundesliga akiwa na klabu ya FC St. Pauli.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yakubu Adamu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.