Nenda kwa yaliyomo

Yahia Attiyat Allah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yahia Attiyat Allah

Yahia Attiyat Allah El Idrissi (alizaliwa 2 Machi 1995) ni mchezaji wa soka wa Morocco anayesakata kama beki wa kushoto au kiungo wa kushoto katika klabu ya Botola ya Wydad AC na timu ya taifa ya Morocco.[1][2]

Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 10 Novemba 2022, alitajwa katika kikosi cha wachezaji 26 cha Morocco kwa ajili ya Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar.[3][4]

Wydad AC

  • Botola|Ligi ya Morocco: 2020–21, 2021–22
  • CAF Champions League: 2021-22

Binafsi

  • Mchezaji Bora wa Mwaka wa Wydad AC: 2021–22

Heshima

  • Order of the Throne: 2022[5]
  1. Profaili kwenye Super League Greece, slgr.gr
  2. Profaili kwenye Sofascore, sofascore.com
  3. "Morocco World Cup 2022 squad: Who's in and who's out? | Goal.com". www.goal.com. Iliwekwa mnamo 10 Novemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Moroccan coach unveils list of 26 Atlas Lions in 2022 World Cup". HESPRESS English - Morocco News (kwa American English). 10 Novemba 2022. Iliwekwa mnamo 10 Novemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "King receives members of national soccer team, decorates them with Royal wissams". HESPRESS English - Morocco News (kwa American English). 2022-12-20. Iliwekwa mnamo 2023-06-10.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yahia Attiyat Allah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.