Kaangao
Mandhari
(Elekezwa kutoka Xiphosura)
Kaangao | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kaangao wa Atlantiki (Limulus polyphemus)
| ||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
| ||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||
Nusuoda 2: |
Kaangao ni wanyama wa oda Xiphosura katika ngeli Merostomata. Hawa ni kheliserata wakubwa sana.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Carcinoscorpius rotundicauda, Kaangao-misitubahari (Mangrove Horseshoe Crab) - Asia ya Kusini Mashariki
- Limulus polyphemus, Kaangao wa Atlantiki (Atlantic Horseshoe Crab) - pwani ya Atlantiki na Ghuba ya Meksiko
- Tachypleus gigas, Kaangao Mkubwa - Asia ya Kusini na ya Kusini Mashariki
- Tachypleus tridentatus, Kaangao Meno-matatu - pwani za Asia ya Mashariki
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Kaangao-misitubahari
-
Kaangano meno-matatu
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaangao kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |