Nenda kwa yaliyomo

Xernona Clayton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Xernona Clayton
Amezaliwa Xernona Clayton Brady
30 Agosti 1930
Marekani
Nchi Marekani
Majina mengine Xernona Clayton Brady
Kazi yake Kiongozi na mtetezi wa haki za binadamu

Xernona Clayton Brady (née Brewster, amezaliwa mnamo Agosti 30, 1930) ni Mmarekani mwenye asili ya Afrika aliye kiongozi na mtetezi wa haki za binadamu. Kipindi cha harakati zake zakuhakikisha haki inapatikana katika jamii, pia alifanya kazi katika kitivu cha National Urban League na Southern Christian Leadership Conference, Ambapo alianza mahusiano yake na Dr. Martin Luther King Jr. baadae, Clayton akaelekea kufanya kazi katika television, ambapo alikuwa ni mtuu wa kwanza kutoka afrika, kusimamia ghafla kubwa ya prime time talk show.Napia alikuwa mshirika na makamua wauraisi katika Turner Broadcasting.1930[1]

Clayton ndiye mwanzilishi wa Trumpet Foundation.[2] Alikuwa nikiungo na sauti katika katika maendeleo ya International Civil Rights Walk of Fame Ambae iliendelezwa na taasisi ya kutunza na kuhakiki mafanikio ya wa Marekani weusi yanaenda sawia pamoja nahaki kusimamiwa. [3] Pia alishawishi taasis ya Grand Dragon ya Ku Klux Klan kulaani Klan .[4] Clayton ameheshimiwa na Chama cha Kitaifa cha Maendeleo ya| Watu Rangi na jiji la Atlanta kwa kazi yake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Scott, Monica (Machi 1987). "Atlanta's First TV Host Blazes Trails for Blacks in Media". Taking Care of Business/Southern Exposure.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "The Trumpet Foundation". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-18. Iliwekwa mnamo Machi 25, 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "International Civil Rights Walk of Fame". Iliwekwa mnamo Machi 25, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Peterson, Maurice. "Essence Woman: Xernona Clayton", March 25, 2016. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Xernona Clayton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.