Woman in gold

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Woman in Gold

Woman in gold ni picha ambayo ilichorwa mwaka 1907 mchoraji maarufu wa Austria aitwae Gustav Klimt[1]. Aliyechorwa kwenye hiYo picha anaitwa Adele Bloch-Bauer II: huyu Adele Bloch-Bauer II [2] mwenye umri wa miaka 44 alikuwa mke wa Ferdinand Bloch. Ferdinand Bloch tajiri wa Vienna alikuwa na kaka yake aitwae Gustavo Bloch- Bauer ambaye alikuwa na mke wake aitwae Terrise Altmann. Gustavo Bloch- Bauer ambaye ni kaka wa fredinand Bloch alikuwa na watoto wawili mmoja anaitwa luise Altmann na mwengine ni Maria Altmann. Dada wa Maria Altmann Alikufa Mwaka 1998. Maria Altmann Alifungua mashtaka ya uporaji wa mali ya familia ikiwa ni hiyo picha iitwayo Woman in Gold . picha hii ilikuwa mali ya familia ambayo iliporwa kipindi cha kinazi na baada utawala kuisha ikawekwa kwenye makumbusho ya taifa ya Ausrtria . maria alikuwa na mwanasheria wake aitwae Randol Schonelberg.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Gustav Klimt - Tafuta na Google". www.google.com. Iliwekwa mnamo 2023-05-14. 
  2. https://www.google.com/search?q=Adele+Bloch-Bauer+II&oq=Adele+Bloch-Bauer+II&aqs=chrome..69i57.602j0j15&sourceid=chrome&ie=UTF-8