Nenda kwa yaliyomo

Wolfgang Ketterle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wolfgang Ketterle

Wolfgang Ketterle (amezaliwa 21 Oktoba, 1957) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa anachunguza chembe za atomu. Mwaka wa 2001, pamoja na Carl Wieman na Eric Cornell, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wolfgang Ketterle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.