Nenda kwa yaliyomo

Wizara ya Mazingira ya Uruguay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wizara ya Mazingira ni wizara ya serikali ya Uruguay inayoshughulikia Mazingira ya Uruguay. Iliundwa Julai 9 mwaka 2020, na Waziri wa sasa wa Mazingira ni Adrián Peña, ambae ameshikilia nafasi tangu Agosti 27 mwaka 2020.[1]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-27. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.