Wiz Kilo
Mandhari
Wissam Kilo, (amezaliwa Machi 5, 1984) anayejulikana zaidi kwa jina lake la kisanii Wiz Kilo, ni msanii wa hip hop wa Kanada na msanii wa elektroniki, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa muziki, densi, mwigizaji, mwanamitindo na mwalimu wa hip hop.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ISC: List of semi-finalists Archived Julai 8, 2008, at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wiz Kilo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |