William Onyeabor
William Ezechukwu Onyeabor alizaliwa tarehe 26 Machi 1946 – 16 Januari 2017) alikuwa mwanamuziki wa funk na mfanyabiashara kutoka Nigeria.[1] Muziki wake ulikuwa maarufu sana Nigeria mwishoni mwa miaka ya 1970 na mapema miaka ya 1980. Licha ya mafanikio yake, alikuwa mtu wa siri, mwenye kutofautika, na mwenye kujitenga na umma.
Muhtasari
[hariri | hariri chanzo]Nyimbo za William Onyeabor mara nyingi ziliundwa kwa midundo yenye nguvu na kutumia sintesiza, zikiwa na wigo mkubwa na maneno yanayopinga vita. Onyeabor mwenyewe pamoja na wafuasi wake wa kike walitoa sauti kwenye nyimbo hizo.
Katika miaka ya 2010, baadhi ya nyimbo zake ziliwekwa kwenye mchanganyiko mbalimbali. Zaidi ya yote, wimbo wake maarufu "Better Change Your Mind" uliotajwa kwenye tuzo za Africa 100 na World Psychedelic Classics 3: Love's a Real Thing – The Funky Fuzzy Sounds of West Africa iliyochapishwa na Laka Bop.[2][3]
Nyimbo zake pia zilitolewa kwenye Nigeria 70: The Definitive Story of 1970's Funky Lagos iliyochapishwa na Strut Records.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Donohue, John (5 Mei 2014). "Doctor Who". The New Yorker. uk. 16. Iliwekwa mnamo 5 Januari 2021.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Pareles, Jon (13 Februari 2005). "The Temptations of the Power Ballad". The New York Times. Iliwekwa mnamo 27 Julai 2010.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Barclay, Michael (25 Agosti 2005). "A whole new beginning; New New Pornographers, no coup for Trews and some funky good times". The Record. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Novemba 2012. Iliwekwa mnamo 27 Julai 2010.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Kara, Scott (22 Mei 2009). "Various – Nigeria 70". The New Zealand Herald. Iliwekwa mnamo 27 Julai 2010.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu William Onyeabor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |