William Nicholaus Lyimo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William Nicholaus Lyimo (maarufu kwa jina la kisanii Bill Nass [1] [2] [3]; amezaliwa 11 Aprili 1993) ni rapa wa Kitanzania. MTV Base ilimtaja kati ya "Wasanii 50 walio tazamwa Kwa Mwaka 2017". [4] Miezi kadhaa baada ya kutolewa kwa wimbo wake wa kwanza "Raha", [5]

Bill Nass aliteuliwa kuwania Tuzo za Muziki za Kilimanjaro Tanzania (KTMA) za mwaka 2015 kama "Msanii Mpya Bora". [6] [7]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Who Is Bill Nass; A Rapper From Tanzania (en-gb). THE NEW AFRICAN LEGACY. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-06-24. Iliwekwa mnamo 2021-06-20.
  2. MTV Base releases list of artists to watch in 2017 (en). Music In Africa (2017-02-14). Iliwekwa mnamo 2021-06-20.
  3. Bill Nass (en). Music In Africa (2017-09-19). Iliwekwa mnamo 2021-06-20.
  4. mtv news | top african acts to lookout for in 2017 | MTV Africa. web.archive.org (2017-11-15). Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-11-15. Iliwekwa mnamo 2021-06-20.
  5. djmwanga (2014-12-21). New AUDIO | Bill Nas Ft Nazizi - Raha | Download (en-US). DJ Mwanga. Iliwekwa mnamo 2021-06-20.
  6. Majina ya wateule wa KTMA 2015 yatangazwa (en-US). Bongo5.com (2015-04-29). Iliwekwa mnamo 2021-06-20.
  7. Nominees wa Kilimanjaro Music Awards 2015 | East Africa Television (en). www.eatv.tv. Iliwekwa mnamo 2021-06-20.