William Dixon Colley
Mandhari
William Dixon Colley | |
Amezaliwa | William Dixon Colley 14 Novemba 1931 Banjul Gambia |
---|---|
Nchi | Gambia |
Majina mengine | William Ojo Dixon Colley |
Kazi yake | mwandishi wa habari na magazeti, mkurugenzi msaidizi na mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari Gambia |
Cheo | Mkurugenzi msaidizi na mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari Gambia |
William Dixon Colley (zaidi anajulikana kama Dixon Colley, pia: William Ojo Dixon Colley au William Charles Dixon Colley; Bathurst, leo Banjul, mji mkuu wa Gambia, 14 Novemba 1913 - Sukuta, Gambia, 17 Januari 2001) alikuwa raia wa Gambia, mwandishi wa habari na magazeti, mkurugenzi msaidizi na mwenyekiti wa Gambia Press Union (GPU).[1][2][3][4][5][6][7]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Dixon Colley Is Dead The Independent 19 January 2001
- ↑ Ode Adieu Dixon The Point 20 January 2001
- ↑ Funeral Arrangements For William Dixon-Colley The Independent 22 January 2001
- ↑ Dixon Colley Laid To Rest The Point 24. January 2001
- ↑ Uncle Dixon To Get Posthumous Journalism Award The Independent 26 January 2001
- ↑ Dixon Colley Remembered The Independent 20 January 2003
- ↑ William Dixon Colley the Doyen of the Gambian Press The Independent 16 January 2006
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu William Dixon Colley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |