Wilaya ya Magharibi Unguja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Unguja Magharibi)

Wilaya ya Magharibi Unguja ilikuwa wilaya mojawapo kati ya 2 za Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 184,710 [1].

Kwa sasa imegawiwa sehemu mbili, A na B.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Kata za Wilaya ya Magharibi Unguja

Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Magharibi Unguja kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.