Wilaya ya Klaipėda
Mandhari
Wilaya ya Klaipėda | |||
| |||
Mahali pa Wilaya ya Klaipėda katika Lituanya | |||
Nchi | Lituanya | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Klaipėda | ||
Eneo | |||
- Jumla | 5,209 km² | ||
Idadi ya wakazi (2001) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 386,100 |
Wilaya ya Klaipėda (Kilithuania: Klaipėdos apskritis) ni moja ya wilaya 10 ya kujitawala ya Lituanya. Idadi ya wakazi wake ni takriban 386,100. Mji wake mkuu ni Klaipėda.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Klaipėda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Alytus | Kaunas | Klaipėda | Marijampolė | Panevėžys | Šiauliai | Tauragė | Telšiai | Utena | Vilnius |