Unguja Kaskazini 'A'

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Kaskazini A)
Mahali pa Kaskazini 'A' (kijani) katika mkoa wa Unguja Kaskazini.

Wilaya ya Unguja Kaskazini A ni wilaya mojawapo kati ya 2 za Mkoa wa Unguja Kaskazini yenye postikodi namba 73100.


Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 157,369 [1].

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilikuwa na jumla ya wakazi 105,780 kati ya hao Wanaume ni 51,566 na Wanawake ni 54,214. [2].

Majimbo ya bunge[hariri | hariri chanzo]

Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2012 wilaya hii ilikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:

  • Chaani
  • Kijini
  • Mkwajuni
  • Nungwi

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2018-01-10.
Kata za Wilaya ya Unguja Kaskazini 'A' - Mkoa wa Unguja Kaskazini - Tanzania

Banda Kuu | Bandamaji | Bwereu | Chaani Kubwa | Chaani Masingini | Chutama | Fukuchani | Gamba | Gomani | Jongowe | Juga Kuu | Kandwi | Kibeni | Kidombo | Kidoti | Kigomani | Kigongoni | Kigunda | Kijini Matemwe | Kikobweni | Kilimani Tazari | Kilindi | Kinyasini | Kipange | Kiungani | Kivunge | Matemwe Kaskazini | Matemwe Kusini | Mbuyutende | Mchangani | Mchenza Shauri | Mkokotoni | Mkwajuni | Moga | Mto wa Pwani | Mtakuja | Muwanda | Muwange | Pale | Pitanazako | Potoa | Pwani Mchangani | Tazari | Uvivini


Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Unguja Kaskazini 'A' kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.