Wikipedia:Mwongozo (Kupanga makala mpya)
Mandhari
Hivyo ndivyo inavyoonekana kama makala | Hivyo unavyoandika kwenye dirisha la uhariri | Habari zaidi | |
1. Anza kwa utangulizi mfupi. | Gibraltar ni eneo la ng'ambo la Uingereza... | '''Gibraltar''' ni eno la ng'ambo la Uingereza... | |
2. Panga maandishi marefu kwa vichwa vya ndani | Historia |
== Historia == | |
3. Rejea kwa makala zilizopo tayari kwa njia ya viungo: | Mwaka 1713 Hispania ilikubali kwa nafasi ya amani ya Utrecht kuwa rasi itakuwa chini ya mamlaka ya Uingereza. | Mwaka [[1713]] [[Hispania]] ilikubali kwa nafasi ya [[amani ya Utrecht]] kuwa rasi itakuwa chini ya mamlaka ya [[Uingereza]]. | |
4. Usinakili maandishi ya wengine, fuata Msimamo wa kutopendelea upande#Msimamo wa kutopendelea upande|Msimamo wa kutopendelea upande na taja vyanzo vya habari. |