Wieblitz-Eversdorf

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wieblitz-Eversdorf ni kitongoji cha mji wa Salzwedel nchini Ujerumani.

Awali ilikuwa kijiji katika wilaya ya Altmarkkreis Salzwedel kwenye jimbo la Saksonia-Anhalt, Ujerumani, ilijumuisha vijiji vidogo vya Eversdorf, GroB Wieblitz na Klein Wieblitz[1].

Tarehe 1 Januari 2011, iliunganishwa katika mji wa Salzwedel[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]