Nenda kwa yaliyomo

Wenyeji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wenyeji ni watu wa mahali fulani ambao wamepazoea au kupajua ipasavyo.

Pia wenyeji huwa wakaribishaji wa wageni kwa maana mgeni ni mtu asiyeijua sehemu au mahali ipasavyo. Kwa mfano mtu anaweza kuwa mwenyeji wa nyumba au eneo lolote mtu anayomiliki kama yake kihalali.

Katika utamaduni wa makabila na mataifa mengi, pia katika maadili ya dini mbalimbali, wenyeji wanatarajiwa kuwa wakarimu kwa wageni wao.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wenyeji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.