Wellu Sengo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wellu Sengo ni mwigizaji wa filamu za Tanzania (bongo movies). Alianza kupata kazi mbalimbali na wasanii wazoefu katika filamu nchini mwake.[1]. Aliolewa na Desire Ronald Mkwaya na akaachika mwaka 2021,hawana mtoto Alikwishafanya kazi na kampuni kubwa zinazohusika na utengenezaji wa filamu kama Game 1st Quality pamoja na RJ company[2].

Filamu alizowahi kuigiza[hariri | hariri chanzo]

Alifanikiwa kuigiza filamu mbalimbali kama vile: “I know you” aliyeigiza kama Matilda. Pia "Bado natafuta", "Vagabond", "Twisted" na "Matilda".

Tuzo zake[hariri | hariri chanzo]

Msanii huyu amefanikiwa kuwa mshindi wa pili katika shindano la vaa, imba cheza kama Rihanna.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wellu Sengo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.