Wazito F.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wazito F.C. ni klabu ya kandanda yenye makao yake katika mji wa Nairobi nchini Kenya.

Klabu hii ilianzishwa mwaka wa 2011 na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Nairobi.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Wazito F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.