Watoto wa Kongo waliosahaulika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Watoto wa Kongo waliosahaulika ni filamu ya Uingereza ya mwaka 2007 iliyoandikwa, kutengenezwa na kuongozwa na Alex Tweddle katika kampuni ya Angry MAn Picture Ltd.

Usuli[hariri | hariri chanzo]

Watoto wa Kongo waliosahaulika ni filamu iliyofanyika ndani ya wiki nne huko Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo[1]. Kutokea maeneo ya bondeni ya jimbo la Kongo kuelekea mji mkuu wa Kinshasa na jimbo lenye hali tete la Ituri mashariki filamu hii inaangazia maswahibu wanayo kumbana nayo watoto wa mitaani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. British Council Film: The Forgotten Children of Congo. film-directory.britishcouncil.org. Iliwekwa mnamo 2022-08-06.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Watoto wa Kongo waliosahaulika kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.