Warda Walid

From Wikipedia
Jump to navigation Jump to search

Warda Walid ni mwigizaji wa filamu za Tanzania (Swahiliwood), anayesifika kwa uwezo wa kuigiza filamu za hisia na hii ni kutokana na kuwa makini katika kuwakilisha uhusika halisi japo anaonekana kuzipatia filamu za aina hiyo.[1]

Kazi[edit | edit source]

Filamu alizoigiza ni pamoja na Triple L, Nipende Monalisa, Lost Adam na nyingine nyingi[2].

Tanbihi[edit | edit source]

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Warda Walid kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.