Wapiti (Nigeria)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wapiti ni kabila dogo nchini Nigeria. Mwaka wa 2000 idadi yao ilihesabiwa kuwa watu 5530.

Lugha yao ni Kipiti.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wapiti (Nigeria) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.