Wanamgambo wa haki za Wanyama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wanamgambo wa Haki za Wanyama ni bendera inayotumiwa na wanaharakati wa haki za wanyama wanaohusika moja kwa moja kwa kutumia mbinu mbalimbali zinazopuuza sera ya Ukombozi wa Wanyama ya kuchukua tahadhari zote muhimu ili kuepuka madhara kwa maisha ya binadamu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu "Wanamgambo wa haki za Wanyama" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.