Nenda kwa yaliyomo

Walther Bothe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Walther Bothe, Stuttgart 1935

Walther Wilhelm Georg Bothe (8 Januari 18918 Februari 1957) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa anajulikana kwa kuvumbua njia mpya ya kutambua vijipande vya atomu. Mwaka wa 1954, pamoja na Max Born alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walther Bothe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.