Nenda kwa yaliyomo

Walter Abbott (mwanakandanda, mzaliwa wa 1877)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Walter Abbott (7 Desemba 1877 - 1 Februari 1941) alikuwa mwanakandanda wa kulipwa raia wa Uingereza ambaye alifunga magoli 104 kwenye michezo 391 ya ligi kuu Uingereza akiwa na klabu ya Small Heath (ambayo baadae ilipewa jina la Birmingham) pia alicheza Everton na Burnley. Alicheza mara moja kwenye timu ya taifa ya Uingereza.

Maisha na kazi

[hariri | hariri chanzo]

Abbott alizaliwa small Heath, Birmingham, alianza safari yake ya kandanda kwenye klabu ya apo mtaani kwao. Kwenye klabu iyo alicheza nafasi ya upande wa kushoto na kufunga magoli 66 katika michezo 85 kwenye mashindano yote. Msimu wa 1898-99 aliweka rekodi ya magoli 42, magoli 32 yalikuwa idadi sawa na michezo ya ligi. Alicheza kama winga kipindi yupo Everton na alishinda kombe la ligi akiwa na klabu hii, kwenye suluhu ya bila magoli dhidi ya Wales kwenye uwanja wa Racecourse, jijini Wrexham.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walter Abbott (mwanakandanda, mzaliwa wa 1877) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.