Wahome Mutahi
Jump to navigation
Jump to search
Wahome Mutahi (24 Oktoba 1954 – 22 Julai 2003) alikuwa mwandishi mpendwa sana katika Kenya. Aliitwa Whispers kama jina la "column" aliyoiandika kwa The Daily Nation. Aliandika pia tamthilia na vitabu. Alikuwa mtu mwenye siasa, na mhakiki mkali, lakini kila wakati alitumia ucheshi.